Episodes

Tuesday May 17, 2022
Kungojea ushindi wa Bwana | Pst. Zachary Muriithi | DCIKZ
Tuesday May 17, 2022
Tuesday May 17, 2022
📌Kutoka 14:5-7, 15-17, 21-27.
✔️Kabla ya huu ushindi wana Israeli walikuwa wamepitia wakati mgumu sana chini ya uongozi wa mfalme Pharaoh.
✔️Hata baada ya Pharaoh kukataa, Musa alifuata maagizo ya Mungu bila kulalamika.
✔️Ni muhimu kuamini neno ambalo Mungu ameagiza. Anaposema amenena, akiahidi atatimiza.
#SwahiliService #GreatCatch #dcikz #feelslikehome #WaitingonGodsvictory
Version: 20241125
No comments yet. Be the first to say something!