Episodes

Tuesday Jan 25, 2022
Kuweka Msingi Kwa Mavuno Makuu | Ps. Zachary Muriithi | DCIKZ
Tuesday Jan 25, 2022
Tuesday Jan 25, 2022
Pst Zachary Muriithi | Kuweka msingi kwa mavuno makuu | DCIKZ 📌Luke 5:1-10 ✔Kubadili mtazamo wetu katika mambo chache: ✊🏾Tuyaweke kando mawazo ya kale.. {5} Simoni akamjibu, “Bwana, tumekesha usiku kucha tukivua na hatukuambulia kitu cho chote. ✊🏾Jiandae kisikiza na kutii. {5b}Lakini, kwa kuwa wewe umesema,tutazishusha nyavu.” ✊🏾Tujiandae kusoma mambo mapya kila wakati, kila siku. {3b}akamwomba mwenye mashua aisogeze zaidi katika maji. ✊🏾Tuwe na utulivu na kutarajia mambo makuu. {3c} Kisha akakaa kwenye mashua, akaanza kuwafundisha. ✊🏾Tuhusishe wengine katika mambo tunayotenda. {7a} Wakawaashiria wavuvi wa ile mashua nyingine waje kuwasaidia. #TheGreatCatch #Swahiliservice #dcikz #feelslikehome
No comments yet. Be the first to say something!