Episodes

Tuesday Jul 12, 2022
Kuweka nanga ndani ya Kristo | Dkt. Kamau Karumba | DCIKZ
Tuesday Jul 12, 2022
Tuesday Jul 12, 2022
Kuweka nanga ndani ya Kristo | Dkt. Kamau Karumba | DCIKZ
Mhubiri 3:1-8
1. Sisi sote tunapitia misimu.
2. Kama utapitia msimu/dhoruba ambayo itatikiza imani yako. {Yakobo 1:2}
3. Utahitaji msaada ili ubaki dhabiti. {Zaburi 121:1-2}


1. Mjue nahodha
2. Jua mwito wako
3. Jua kozi yako
4. Jenga imani yako, kuwa na tumaini na upendo.

Basi sasa, yanadumu mambo haya matatu: Imani, tumaini na upendo. Lakini lililo kuu miongoni mwa haya matatu ni upendo.

Version: 20241125
No comments yet. Be the first to say something!