Episodes

Monday Apr 19, 2021
Suluhisho la moyo uliyofadhaika | Rev. Beatrice Waithaka | DCIKZ
Monday Apr 19, 2021
Monday Apr 19, 2021
YOHANA 14:1-5
Yesu aliwaambia “ Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama isingelikuwa hivyo, ningalikwisha waambieni. Sasa nakwenda kuwatayarishieni nafasi, nitarudi na kuwachukueni kwangu, ili nanyi muwe pale nilipo mimi. Mnajua njia ya kwenda huko ninakokwenda. Haya yalikuwa masaa yenye giza kabla ya Bwana wetu alipokanwa, kudhihakiwa na kisha kusulubiwa. Kwa muda mfupi ulimwengu wa wale mitume kumi na mmoja ulikuwa unaendelea kusambaratika, kwa maana Yesu waliomwamini na kuwacha vyote kwa ajili yake alikuwa anawaacha. Mpendwa kama ulisha mpoteza mpendwa, au mtu wa karibu wa jamii, unaweza kuelewa yale yaliyo kuwa kwenya mawazo ya wanafunzi – kuhusu kutenganishwa na Yesu kabisa.
No comments yet. Be the first to say something!